News Fall Com

Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

October 28, 2021

GBWhatsApp Pro-latest version (ant-ban)

GBWhatsApp PRO
Download sasa Version mpya ya Whatsapp kutoka kwa Whatsapp GBmods ambayo wameongeza manjonjo kibao,hakuna ban,ni WhatsApp inayoongoza kwa ubora na ni rahisi kutumia kwa mtu yoyote yule..

Jinsi ya kudownload

  • Gusa link chini kwenda kwenye download page
  • Chagua link ya kudownload kati ya Dirrect na Mirror
  • Hakikisha umeweka on "unknown source" ili uweze ku install apk ya WhatsApp 
  • Kabla ya ku install Unstall Whatsall uliokuwa unatumia mwanzo na uinstall tena hii mpyaa.
Pia unaweza download sticker Pack za GBwhatsapp na Sticker Creator hapa


October 28, 2021

Rezvan-Tank (super car in the world)

Magari yenye sifa za kipekee duniani.
Katika magari yenye sifa ya kipekee duniani,huwezi acha kuzungumzia REZVAN-TANK
Rezvani Motors ni mbuni wa magari na mtengenezaji wa supercars za utendaji wa hali ya juu huko Irvine, California. Rezvani Motors ilianzishwa na mjasiriamali wa Irani na Amerika Ferris Rezvani, mmoja wa wabunifu wa Vencer Sarthe supercar [5] ambaye hapo awali alifanya kazi na Aston Martin, Ferrari, [6] [7] na DBC. Bidhaa kuu ya Kampuni hiyo ni Mnyama wa Rezvani, [6] mradi unaofadhiliwa na Rezvani. [9]Gari hii inauwezo waa ajabu sana kulinganisha na magari mengineRezvan ina "smoke screen" hii inatumika kumchanganya mtu ambae anakuta kwa nyuma ukigusa batan ya "smoke screen",gari inatoa moshi mwingi sana nyuma ambao huzingira sehem inapopita na hii km mtu anakufata nyuma basi hushindwa kuona njia.Rezvan ina "shock security" hii huweka shoti yenye nguvu sana kwenye vitasa vya mlango wa gari hii ambapo mtu ambae hausiki kama mwizi au jambazi wanapotaka kuiba au kukupora gari basi watakaposhika vitasa vya mlango hupigwa shoti yenye nguvu sanaRezvan ni "Bullet proof" vioo vyake haviingii risasi ya aina yoyote kama 9mm,AK-47,SMG ambapo gari hii ima ulinzi wa kutosha sana kwa mtumiaji




October 28, 2021

What Countries Do Not Have Snackes?

snake
The countries that do not have snakes are Ireland, Greenland, New Zealand and Iceland. The continent of Antarctica also does not have snakes

Scientists believe that during the most recent Ice Age, which took place roughly 10,000 years ago, Ireland's climate became too cold for snakes and many other animals to survive, so they either left the island or they died there. When the Ice Age finally ended and the climate returned to normal, Ireland was surrounded by water, which cut off the snakes' access. Snakes are notoriously slow to adapt themselves to new environments and climates, which may explain why any snakes that have been introduced to Ireland since the Ice Age ended have not been enough to recolonize the country.

Although New Zealand has no land snakes, it is visited by two species of sea snakes. Sightings are rare; the snakes are poisonous but extremely small and are not regarded as a threat to humans.
June 18, 2021

Njia 2 kubwa za kuongeza follower na likes Instagram

Zitambue njia 2 kubwa zitakazokuwezesha kupata followers wengi sana kwa muda mfupi

1.njia ya kwanza ni Follow influencer

njia hii ni nzuri sana inakuwezesha kupata follower wengi kwa muda mfupi zaidi,njia hii ni msaada mkubwa kama utasoma maelezo kwa makini...
inakupasa ufollow watu wengi zaidi wenye tick za blue kadiri unavyozidi wafollow ndivyo followers wanaonhezeka kwako.unapomfollow mwenye tick ya blue basi waliomfollow yeye wanakufollow na wewe papo hapo mfano wa watu wenye tick ya blue ni masupastaa karibu wote baada ya kuwafollow wengi kadiri uwezavyo subir baada ya dakika 45 kisha wa unfollow kisha uwa follow tena,fanya ivyo mara nyingi uwezavyo utaona matunda yake.
hapa chini nimeweka link ambayo utapata watu wote wenye tick ya blue utawafollow watu wote ambao nimewafollow mimi kwenye account hiyo kisha baada ya muda wa dakika 45 wa nfollow wote kisha wafollow tena..pia kunablink chini ya app ambayo inakuwezesha ku unfollow watu 100 hadi 200 kwa mpigo mmoja hiyo itakurahisishia muda sio sawa na ku unfollow mmoja mmoja


2.njia ya pili ni HASHTAG
njia nzuri na ni rahisi kutumia na inamafanikio kwa watumiaji,njia hii inakuwezesha kutumia hashtag ambazo zinaifanya account/username/post kuonekana hata kwa watu ambao hujawafollow,lakini pia hashtag izo zipo kwa categories tofauti zipo za likes tu,zipo za follower tu,zipo za likes na follower.pia hashtag izo unapaswa kutumia kulingana na post yako inahusu nini mfano Art,Fashion,photography,Graphics,health na mengineo mengi... hashtag izo unaziweka unaotaka kuost post yako baada ya kuandika caption kwa chini weka hashtag zako 
hapa chini nimeweka link tofauti za hashtag chagu unazopenda kulingana na categories


Lakini pia zipo njia nyingine za kufanya upaye likes 1000 kwa saa 24 ambazo njia hizo huwezi pata popote ..acha comment yako na kupendekeza niendelee kutoa njia ama lah!

June 18, 2021

VODACOM:University Bundle offer 2020

UNIVERSITY STUDENT OFFER FROM VODACOM | 2019
Vodacome wanatoa ofa kabambe sana kwa wanafunzi wa chuo,kama wewe ni mwanafunzi wa chuo basi hii si ya kukosa,jisajili na UNIpromo ili kupata ofaa za University,ukisha jisajili piga *149*42# kufurahisa ofa za chuo kutoa vodacom sasa.
pata ofa kedekede,kama Tsh 2000 unapata 512MB,dakika 180 voda-voda,dakika 20 mitandao yote,sms 200 kwa muda wa siku 7 ya wiki
kwa maelezo zaidi ingia kwenye menyu ya pindua pindua


JINSI YA KUJISAJILI
jisajili online kwa kugusa linki hii VODACOM UNI OFFER au tembelea Vodashop au wakala alie karibu nawe ili ukapate kujisajili.huduma hii ni bure kabisa hakuna malipo yoyote.

NANI MLENGWA WA OFA HII?
mlengwa ni mwanafunzi yoyote wa chuo ambaye amesajiliwa na NACTE au TCU  na usajili wake umehakikiwa kuwa halali,au mwanafunzi aliejisali kuwa ni mwanachuo halali.

Jisajili kwa kupia link chini,utafata maelekezo kwa usahihi ili upate kisajiliwa,kwenye mfumo wa vodacom ni rahisi na salama pia ni bure kabisa jisajili sasa ufurahie ofa hii

JISAJILI


June 07, 2021

WAPENZI WA GAMES NA MOVIES INFINIX NOTE 10 PRO KUKATA KIU YAKO

 

Dar es Salaam 7/6/2021: Kampuni ya simu Infinix yazindua rasmi simu mpya kutoka toleo la NOTE-Infinix NOTE 10pro Iijumaa ya 4/6/2021. Infinix na Tigo wameitambulisha Infinix NOTE 10 pro kama simu ya kwanza kwa kampuni ya simu ya Infinix kuja na Helio G95 processor, kamera nne nyuma kamera kuu MP64 na GB78 za internet kutoka Tigo.

Infinix na Tigo wamekuwa washirika wazuri wa kibiashara kwa muda mrefu na tangu wakati huo kampuni hizi mbili zimekuwa na lengo kuu moja la kuwaletea watanzania mapinduzi katika tasnia ya mawasiliano kupitia bidhaa na huduma za kampuni hizi mbili kwa bei rafiki.

Baada ya uzinduzi, Afisa Mahusiano Infinix, Aisha Karupa alisema, “Infinix NOTE 10pro ni simu ya kwanza kwa toleo la NOTE kuja na G95, ram ya GB8 na nyuzi 90Hz za kioo sifa hizi zinaifanya Infinix NOTE 10pro kuwa moja kati ya simu yenye uwezo wakukidhi matumizi ya mtu wa ofisini, mfanyabiashara, mpiga picha na wapenzi wa games. Infinix NOTE 10pro ni zaidi ya simu endapo utaifahamu vizuri”

Aliendelea, nimeongelea ufanisi wa ndani na sasa nitaongelea kwa ufupi baadhi ya sifa za nje, “Infinix NOTE 10pro ina umbo jembamba na kioo cha nchi 6.95FHD na MP16 AI selfie Kamera na kwa upande wa nyumba Infinix NOTE 10pro ina flashi na kamera nne(64mp+8mp+2mp+2mp). Infinix NOTE 10pro ni suluhisho kwa videographer, wapiga picha na wasafiri kwajili yakuchukua matukio kwa picha”.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo washindi washindano la Infinix Star Alliance, wawakilishi kutoka Vodacom na Tigo, Mwakilishi kutoka Mwananchi media, Mkurugenzi mtendaji wa Simulizi na Sauti pamoja na mabalozi wa Infinix NOTE 10 Mh. Joseph hauli, Hemedi Suleiman, Meena Ally na Moses Iyobo.

Mkumbo Mnyonge, Meneja wa bidhaa kutoka Tigo alisema, “Kama sehemu ya mkakati wetu kuimarisha kupenya kwa simu janja na matumizi ya mtandao wa Tigo kwa kasi ya 4G nchini, tunaendelea kuungana na Infinix Tanzania kuhakikisha kuwa wateja wet una Watanzania kwa ujuml wanapata huduma ya 4G kuendesha simu zao. Tumezindua leo simu mbili na zote kupatikana sokoni zikiwa na ofa ya GB 78 kutoka mtandao wenye kasi Tigo”.

Uzinduzi ulishereheshwa na Msanii maarufu kutoka lebo ya WCB almaarufu Zuchu na wakali wa dansi kutoka J square.

Baadhi ya sifa nyengine za Infinix NOTE 10pro ni mAh 5000 na fast chaji yenye 33W, Infinix NOTE 10 inadumu na chaji kwa siku 49 pasipo matumizi yoyote lakini vilevile inakuhakikishia masaa 11 ya kucheza games na masaa 142 kusikiliza music.

Infinix NOTE 10 inapatikana Tanzania nzima ikiwa na ofa ya Gb78 za Tigo Mwaka Mzima lakini pia unaweza kununua Infinix NOTE 10 kupitia App ya NILIPE. Tafadhali tembelea https://www.infinixmobility.com/ au piga nambari ya simu 0744606222 kwa huduma ya haraka.


May 31, 2021

Wasanii 5 matajiri zaidi African

WASANII 5 MATAJIRI ZAIDI AFRICA

1.Akon
Utajiri wenye thamani ya dola milioni 80

Mwanamuziki tajiri zaidi barani Afrika anaandika nyimbo, anahusika katika kutengeneza, kurekodi sauti, matangazo, ina lebo yake mwenyewe Konvict Muzic ambayo ni moja ya maarufu ulimwenguni. Mtu huyu mwenye shughuli nyingi anaonekana kuwa ameumbwa tu kufanya kazi katika biashara ya kuonyesha. Vipaji vyake vyote vinafunuliwa kabisa hapa. Yeye anafurahiya umaarufu mkubwa kati ya wasikilizaji kote ulimwenguni. Akon ameuza zaidi ya albamu milioni 35, mara tano aliteuliwa kwa tuzo za Grammy. Nyimbo zake 45 ziligonga nyimbo za Billboard Hot 100.
2.Black coffee
Utajiri weny thamani ya dola milioni 60

Jina halisi la mwanamuziki ni Nkosinathi Maphumulo. Yeye ni kutoka KwaZulu-Natal lakini alilelewa katika mkoa wa Mashariki mwa Cape. Kofi nyeusi pia ni mmiliki wa idadi kubwa ya tuzo. Wasikilizaji wa Nigeria wana ufahamu mdogo juu yake. Walakini, yeye ni maarufu sana katika nchi za Magharibi. Ubunifu wa mwanamuziki huyu unavutia haswa kwa mashabiki wa muziki wa elektroniki. Alianza kazi karibu 1995 na akatoa albamu 5 chini ya lebo yake mwenyewe. Maendeleo makubwa yalitokea mnamo 2004 wakati Kofi Nyeusi ilichaguliwa kwa Chuo cha Muziki wa Red Bull kilichofanyika Cape Town. Mnamo 2005, alishinda tuzo ya "Breakthrough DJ Of The Year" katika tuzo za DJ huko Ibiza. 
3.Don Jazzy
utaji wenye thamani ya dola milioni 30

Jina lake halisi ni Michael Collins Ajereh. Hadithi ya kupenda kwake muziki ilianza utotoni kanisani. Kisha akahamia Uingereza na akaanza safari yake kwenda ngazi ya kazi. Hivi leo Don Jazzy ni miongoni mwa wanamuziki tajiri barani Afrika kutokana na kuelezea vipaji vikali katika kutengeneza, kuandika na kupiga nyimbo, ujasiriamali. Alishinda tuzo nyingi, akawa balozi wa chapa ya MTV, alianzisha rekodi yake mwenyewe ya rekodi, aliwasaidia wasanii wengi wenye talanta kupata mafanikio makubwa, kujiingiza katika biashara inayohusiana na mali isiyohamishika na kutengeneza Wi-Fi huko Nigeria.
4.WizKid
utajiri wenye thamani ya dola milioni 16

Lagos ni ardhi ya asili ya mwandishi wa wimbo huu aliyeimba na mwimbaji. Yeye ni mmiliki wa wimbo wa Juu Hot 100, Wimbo wa Juu wa R&B, na tuzo za Juu za Kuongeza R&B. Mashabiki wengi humwita mfalme wa muziki wa kiafrika. Msanii anajaribu kueneza nia za kitaifa kote ulimwenguni. Mikataba na chapa maarufu humletea mapato ya ziada, kwa mfano, ushirikiano na Pepsi. Alianza kama mvulana wa kawaida akiimba kanisani. Nani angefikiria kwamba baada ya muda angefanya kazi na nyota za ulimwengu na kupokea mapato ya ulimwengu!
5.Davido
ufajiri wenye thamani ya dola milioni 15

Huyu ndiye mtoto wa mzazi wa Nigeria ambaye alizaliwa Amerika. Davido ana majina mengi ya kuteuliwa, tuzo na ridhaa zenye faida. Ilimchukua miaka michache tu kupata hadhi ya juu katika ulimwengu wa biashara ya show za Kiafrika. Mnamo mwaka wa 2011, moja "Nyuma Wakati" ilitolewa. Ilikuwa mwanzo wa mafanikio yake. Hatua kwa hatua, msanii huyo alipata huruma zaidi na zaidi, akaeneza ushawishi wake, akashirikiana na watu mashuhuri, na matamasha yaliyopangwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Hatuna shaka kwamba huu ni mwanzo tu wa njia yake nzuri. Huyu ni mtu mwenye nguvu na mwenye talanta, kwa hivyo atafanikiwa sana.