Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

Rezvan-Tank (super car in the world)

Magari yenye sifa za kipekee duniani.
Katika magari yenye sifa ya kipekee duniani,huwezi acha kuzungumzia REZVAN-TANK
Rezvani Motors ni mbuni wa magari na mtengenezaji wa supercars za utendaji wa hali ya juu huko Irvine, California. Rezvani Motors ilianzishwa na mjasiriamali wa Irani na Amerika Ferris Rezvani, mmoja wa wabunifu wa Vencer Sarthe supercar [5] ambaye hapo awali alifanya kazi na Aston Martin, Ferrari, [6] [7] na DBC. Bidhaa kuu ya Kampuni hiyo ni Mnyama wa Rezvani, [6] mradi unaofadhiliwa na Rezvani. [9]Gari hii inauwezo waa ajabu sana kulinganisha na magari mengineRezvan ina "smoke screen" hii inatumika kumchanganya mtu ambae anakuta kwa nyuma ukigusa batan ya "smoke screen",gari inatoa moshi mwingi sana nyuma ambao huzingira sehem inapopita na hii km mtu anakufata nyuma basi hushindwa kuona njia.Rezvan ina "shock security" hii huweka shoti yenye nguvu sana kwenye vitasa vya mlango wa gari hii ambapo mtu ambae hausiki kama mwizi au jambazi wanapotaka kuiba au kukupora gari basi watakaposhika vitasa vya mlango hupigwa shoti yenye nguvu sanaRezvan ni "Bullet proof" vioo vyake haviingii risasi ya aina yoyote kama 9mm,AK-47,SMG ambapo gari hii ima ulinzi wa kutosha sana kwa mtumiaji




4 comments:

andika maoni yako