Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

Njia 2 kubwa za kuongeza follower na likes Instagram

Zitambue njia 2 kubwa zitakazokuwezesha kupata followers wengi sana kwa muda mfupi

1.njia ya kwanza ni Follow influencer

njia hii ni nzuri sana inakuwezesha kupata follower wengi kwa muda mfupi zaidi,njia hii ni msaada mkubwa kama utasoma maelezo kwa makini...
inakupasa ufollow watu wengi zaidi wenye tick za blue kadiri unavyozidi wafollow ndivyo followers wanaonhezeka kwako.unapomfollow mwenye tick ya blue basi waliomfollow yeye wanakufollow na wewe papo hapo mfano wa watu wenye tick ya blue ni masupastaa karibu wote baada ya kuwafollow wengi kadiri uwezavyo subir baada ya dakika 45 kisha wa unfollow kisha uwa follow tena,fanya ivyo mara nyingi uwezavyo utaona matunda yake.
hapa chini nimeweka link ambayo utapata watu wote wenye tick ya blue utawafollow watu wote ambao nimewafollow mimi kwenye account hiyo kisha baada ya muda wa dakika 45 wa nfollow wote kisha wafollow tena..pia kunablink chini ya app ambayo inakuwezesha ku unfollow watu 100 hadi 200 kwa mpigo mmoja hiyo itakurahisishia muda sio sawa na ku unfollow mmoja mmoja


2.njia ya pili ni HASHTAG
njia nzuri na ni rahisi kutumia na inamafanikio kwa watumiaji,njia hii inakuwezesha kutumia hashtag ambazo zinaifanya account/username/post kuonekana hata kwa watu ambao hujawafollow,lakini pia hashtag izo zipo kwa categories tofauti zipo za likes tu,zipo za follower tu,zipo za likes na follower.pia hashtag izo unapaswa kutumia kulingana na post yako inahusu nini mfano Art,Fashion,photography,Graphics,health na mengineo mengi... hashtag izo unaziweka unaotaka kuost post yako baada ya kuandika caption kwa chini weka hashtag zako 
hapa chini nimeweka link tofauti za hashtag chagu unazopenda kulingana na categories


Lakini pia zipo njia nyingine za kufanya upaye likes 1000 kwa saa 24 ambazo njia hizo huwezi pata popote ..acha comment yako na kupendekeza niendelee kutoa njia ama lah!

1 comment:

andika maoni yako