Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

June 18, 2021

Njia 2 kubwa za kuongeza follower na likes Instagram

Zitambue njia 2 kubwa zitakazokuwezesha kupata followers wengi sana kwa muda mfupi

1.njia ya kwanza ni Follow influencer

njia hii ni nzuri sana inakuwezesha kupata follower wengi kwa muda mfupi zaidi,njia hii ni msaada mkubwa kama utasoma maelezo kwa makini...
inakupasa ufollow watu wengi zaidi wenye tick za blue kadiri unavyozidi wafollow ndivyo followers wanaonhezeka kwako.unapomfollow mwenye tick ya blue basi waliomfollow yeye wanakufollow na wewe papo hapo mfano wa watu wenye tick ya blue ni masupastaa karibu wote baada ya kuwafollow wengi kadiri uwezavyo subir baada ya dakika 45 kisha wa unfollow kisha uwa follow tena,fanya ivyo mara nyingi uwezavyo utaona matunda yake.
hapa chini nimeweka link ambayo utapata watu wote wenye tick ya blue utawafollow watu wote ambao nimewafollow mimi kwenye account hiyo kisha baada ya muda wa dakika 45 wa nfollow wote kisha wafollow tena..pia kunablink chini ya app ambayo inakuwezesha ku unfollow watu 100 hadi 200 kwa mpigo mmoja hiyo itakurahisishia muda sio sawa na ku unfollow mmoja mmoja


2.njia ya pili ni HASHTAG
njia nzuri na ni rahisi kutumia na inamafanikio kwa watumiaji,njia hii inakuwezesha kutumia hashtag ambazo zinaifanya account/username/post kuonekana hata kwa watu ambao hujawafollow,lakini pia hashtag izo zipo kwa categories tofauti zipo za likes tu,zipo za follower tu,zipo za likes na follower.pia hashtag izo unapaswa kutumia kulingana na post yako inahusu nini mfano Art,Fashion,photography,Graphics,health na mengineo mengi... hashtag izo unaziweka unaotaka kuost post yako baada ya kuandika caption kwa chini weka hashtag zako 
hapa chini nimeweka link tofauti za hashtag chagu unazopenda kulingana na categories


Lakini pia zipo njia nyingine za kufanya upaye likes 1000 kwa saa 24 ambazo njia hizo huwezi pata popote ..acha comment yako na kupendekeza niendelee kutoa njia ama lah!

June 18, 2021

VODACOM:University Bundle offer 2020

UNIVERSITY STUDENT OFFER FROM VODACOM | 2019
Vodacome wanatoa ofa kabambe sana kwa wanafunzi wa chuo,kama wewe ni mwanafunzi wa chuo basi hii si ya kukosa,jisajili na UNIpromo ili kupata ofaa za University,ukisha jisajili piga *149*42# kufurahisa ofa za chuo kutoa vodacom sasa.
pata ofa kedekede,kama Tsh 2000 unapata 512MB,dakika 180 voda-voda,dakika 20 mitandao yote,sms 200 kwa muda wa siku 7 ya wiki
kwa maelezo zaidi ingia kwenye menyu ya pindua pindua


JINSI YA KUJISAJILI
jisajili online kwa kugusa linki hii VODACOM UNI OFFER au tembelea Vodashop au wakala alie karibu nawe ili ukapate kujisajili.huduma hii ni bure kabisa hakuna malipo yoyote.

NANI MLENGWA WA OFA HII?
mlengwa ni mwanafunzi yoyote wa chuo ambaye amesajiliwa na NACTE au TCU  na usajili wake umehakikiwa kuwa halali,au mwanafunzi aliejisali kuwa ni mwanachuo halali.

Jisajili kwa kupia link chini,utafata maelekezo kwa usahihi ili upate kisajiliwa,kwenye mfumo wa vodacom ni rahisi na salama pia ni bure kabisa jisajili sasa ufurahie ofa hii

JISAJILI


June 07, 2021

WAPENZI WA GAMES NA MOVIES INFINIX NOTE 10 PRO KUKATA KIU YAKO

 

Dar es Salaam 7/6/2021: Kampuni ya simu Infinix yazindua rasmi simu mpya kutoka toleo la NOTE-Infinix NOTE 10pro Iijumaa ya 4/6/2021. Infinix na Tigo wameitambulisha Infinix NOTE 10 pro kama simu ya kwanza kwa kampuni ya simu ya Infinix kuja na Helio G95 processor, kamera nne nyuma kamera kuu MP64 na GB78 za internet kutoka Tigo.

Infinix na Tigo wamekuwa washirika wazuri wa kibiashara kwa muda mrefu na tangu wakati huo kampuni hizi mbili zimekuwa na lengo kuu moja la kuwaletea watanzania mapinduzi katika tasnia ya mawasiliano kupitia bidhaa na huduma za kampuni hizi mbili kwa bei rafiki.

Baada ya uzinduzi, Afisa Mahusiano Infinix, Aisha Karupa alisema, “Infinix NOTE 10pro ni simu ya kwanza kwa toleo la NOTE kuja na G95, ram ya GB8 na nyuzi 90Hz za kioo sifa hizi zinaifanya Infinix NOTE 10pro kuwa moja kati ya simu yenye uwezo wakukidhi matumizi ya mtu wa ofisini, mfanyabiashara, mpiga picha na wapenzi wa games. Infinix NOTE 10pro ni zaidi ya simu endapo utaifahamu vizuri”

Aliendelea, nimeongelea ufanisi wa ndani na sasa nitaongelea kwa ufupi baadhi ya sifa za nje, “Infinix NOTE 10pro ina umbo jembamba na kioo cha nchi 6.95FHD na MP16 AI selfie Kamera na kwa upande wa nyumba Infinix NOTE 10pro ina flashi na kamera nne(64mp+8mp+2mp+2mp). Infinix NOTE 10pro ni suluhisho kwa videographer, wapiga picha na wasafiri kwajili yakuchukua matukio kwa picha”.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo washindi washindano la Infinix Star Alliance, wawakilishi kutoka Vodacom na Tigo, Mwakilishi kutoka Mwananchi media, Mkurugenzi mtendaji wa Simulizi na Sauti pamoja na mabalozi wa Infinix NOTE 10 Mh. Joseph hauli, Hemedi Suleiman, Meena Ally na Moses Iyobo.

Mkumbo Mnyonge, Meneja wa bidhaa kutoka Tigo alisema, “Kama sehemu ya mkakati wetu kuimarisha kupenya kwa simu janja na matumizi ya mtandao wa Tigo kwa kasi ya 4G nchini, tunaendelea kuungana na Infinix Tanzania kuhakikisha kuwa wateja wet una Watanzania kwa ujuml wanapata huduma ya 4G kuendesha simu zao. Tumezindua leo simu mbili na zote kupatikana sokoni zikiwa na ofa ya GB 78 kutoka mtandao wenye kasi Tigo”.

Uzinduzi ulishereheshwa na Msanii maarufu kutoka lebo ya WCB almaarufu Zuchu na wakali wa dansi kutoka J square.

Baadhi ya sifa nyengine za Infinix NOTE 10pro ni mAh 5000 na fast chaji yenye 33W, Infinix NOTE 10 inadumu na chaji kwa siku 49 pasipo matumizi yoyote lakini vilevile inakuhakikishia masaa 11 ya kucheza games na masaa 142 kusikiliza music.

Infinix NOTE 10 inapatikana Tanzania nzima ikiwa na ofa ya Gb78 za Tigo Mwaka Mzima lakini pia unaweza kununua Infinix NOTE 10 kupitia App ya NILIPE. Tafadhali tembelea https://www.infinixmobility.com/ au piga nambari ya simu 0744606222 kwa huduma ya haraka.