Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

Shimo refu zaidi duniani liliopo kwenye ncha ya kaskazini mwa dunia (MARIANA TRENCH)

Je wajua kuwa dunia ina Tundu/shimo kwenye ncha ya kaskani?


matufe mengi ya dunia yanoyo tumika kufundishia darasani huwa yameshikiliwa na stendi juu na chini basi na dunia vivyo hivyo ilivyo..
Kashani mwa dunia kuna shimo kubwa sana lijulikanalo maka MARIANA TRENCH shimo hilo ni shimo lenye upana wa maili 3 sawa na (kilometa 4.828032), na lina urefu wa maili 7 sawa na(Kilometa 11.265408)...na shimo ilo lipo kati ya bahari na limefunikwa kwa maji,..kutokana na urefu wa shimo hilo limefanya maji ya sehem hiyo kuwa meusi sana.
Viumbe wanaoishi chini ya shimo hilo ni waajabu na ni hatari kwa maisha ya mwanadamu,kuna papa wa kubwa na samaki wakubwa sana ambao wanauwezo wa kula binadamu
..


TEMBELEA UKURASA WETU HUU KILA SIKU ILI KUJUA MAMBO YA AJABU NA AMBAO HUYAJUI YALIYOPU HAPA DUNIANI


1 comment:

andika maoni yako