Stream Hot News At Right Time

Banner

Breaking

DAILY QUOTES

natamani ningekuumiza kama unavyoniumiza,lakini hata ningepata hiyo nafasi nisingefanya ivo

True love never end
kwenye mapenzi siku zote kuna watu wa aina mbili "anaependa,na anaependwa", Anaependa yeye hujitolea sana katika mapenzi,hujali,na hueshimu na kuilinda heshima na amani ya mapenz yake bila kujal kikwazo, na Anaependwa yeye hufurahia kuabudiwa tu



No comments:

Post a Comment

andika maoni yako